AUDIO NUKUU

NUKUU KUTOKA KWA MAE WEST KUUSU MAISHA

Nukuu kutoka kwa Mae West Kuusu Maisha

NUKUU YA LEO — Kutoka kwa Mae West
“Unaishi mara moja tu, ukiitumia vizuri mara moja inatosha.”

📌 Ujumbe: Maisha si mazoezi ya kupima — ni tukio la kipekee. Ukiyapanga na kuyathamini kwa makini, hautahitaji nafasi ya pili. Chukua hatua leo, ishi kwa kusudi, na fanya maisha yako yawe na maana.

🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.

👉 Tujiunge Nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F

#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi