(Mwanazuoni na Mfasiri wa Qurβan β Afrika Mashariki)
“Elimu ya dini ni nuru, na nuru hiyo haikai moyoni mwa aliyefungwa na tamaa.”
π Ujumbe: Tamaa hupofusha hekima. Ikiwa unataka kuona mwanga wa kweli maishani, jitakase nafsi na tafuta elimu kwa unyenyekevu.
π Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
π Jiunge nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi