Blog

SAUTI YA MTAA : Mwanamuziki akitoa wimbo wenye ujumbe mzito lakini mashabiki wakapenda beat pekee, amefanikiwa kufikisha ujumbe wake

Download | Play Now
Mwanamuziki akitoa wimbo wenye ujumbe mzito lakini mashabiki wakapenda beat pekee, amefanikiwa kufikisha ujumbe wake

“Mwanamuziki akitoa wimbo wenye ujumbe mzito lakini mashabiki wakapenda beat pekee, amefanikiwa kufikisha ujumbe wake?”

Wakati mwingine mashabiki wanakumbuka melody na kucheza wimbo bila hata kuelewa maneno yake. Je, jukumu la msanii ni kutengeneza burudani tu, au kuhakikisha ujumbe wake unaeleweka?

Kwako, wimbo mzuri ni ule unaotikisa dance floor au unaogusa akili na maisha ya watu?

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #UjumbeKwenyeMuziki #BongoFlava #Muziki

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.