
“Tamasha likitangaza wasanii wengi lakini muda ukifika baadhi yao hawapewi nafasi, ni udanganyifu kwa mashabiki?”
Mashabiki hununua tiketi wakiamini watawaona wasanii waliotangazwa. Lakini ratiba inapobadilika bila maelezo, watu wanaweza kujisikia wamechezewa. Kwa upande mwingine, waandaaji wanaweza kukumbana na changamoto za muda na maandalizi.
Msanii aliyetangazwa lakini hakutumbuiza anapaswa kuwajibika, promota arudishe pesa, au tiketi ibaki halali kwa sababu ya changamoto za tukio?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Tamasha #BongoEvents #MashabikiWaMuziki
