SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Kama msanii ana sauti nzuri lakini hana uwezo wa kutumbuiza jukwaani, anastahili kuitwa msanii kamili

Download | Play Now
Kama msanii ana sauti nzuri lakini hana uwezo wa kutumbuiza jukwaani, anastahili kuitwa msanii kamili

“Kama msanii ana sauti nzuri lakini hana uwezo wa kutumbuiza jukwaani, anastahili kuitwa msanii kamili?”

Kuna tofauti kati ya kurekodi wimbo mzuri studio na kuutoa vizuri mbele ya watu. Baadhi ya wasanii hung’ara kwenye rekodi lakini hushindwa kuwasisimua mashabiki kwenye show za moja kwa moja.

Kwako, kipaji cha kuimba kinatosha au msanii lazima awe na uwezo wa kufanya live performance pia?

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #LivePerformance #Vipaji #BongoFlava

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.