E NEWS

LEO TAR 15 MWEZI WA 9 KAZALIWA STAA WA MUZIKI WA SINGELI K ZUNGU

Download | Play Now
LEO TAR 15 MWEZI WA 9 KAZALIWA STAA WA MUZIKI WA SINGELI K ZUNGU

Leo ni siku maalum kwa familia, mashabiki na wapenda muziki wa Singeli, kwani staa K Zungu anatimiza siku yake ya kuzaliwa. Tunamtakia maisha marefu, afya njema, mafanikio zaidi na mwaka mpya wa baraka pamoja na kazi nyingi nzuri za muziki.

Kutoka IK MZIKI, tunasema Happy Birthday K Zungu! Endelea kutufuatilia kwa habari na updates za muziki.

#KZungu #HappyBirthday #Singeli #IKMziki #SingeliUpdates

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.