E NEWS

MSIBA MZITO AMSHA MUSIC AFIWA NA BABA

Download | Play Now
MSIBA MZITO AMSHA AFIWA NA BABA

AARIFA YA MSIBA

Mwanafamilia mwenzetu katika tasnia ya muziki na habari, **Amsha Music (Amsha Media)** amefiwa na baba yake. Msiba upo **Tabata**.

Kwa watakaokwenda **kuaga**, tafadhali wafike mapema. Kwa watakaokwenda **kuzika**, usafiri umeandaliwa kwa **nauli ya TSh 10,000**.

Mwenyezi Mungu amrehemu marehemu na awape familia subira na faraja.

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.