
Leo ni siku maalum kwa staa wa muziki wa Singeli nchini, Kapaso BKP, anayesherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Timu ya IK MZIKI tunamtakia heri ya siku ya kuzaliwa, afya njema, mafanikio makubwa na baraka tele katika maisha na safari yake ya muziki. Tunamtakia azidi kutoa kazi nzuri na kuendelea kuipeperusha bendera ya Singeli Tanzania.
Tuungane wote kumtakia Kapaso BKP heri ya kuzaliwa kwenye comments, na usisahau kuendelea kufuatilia IK MZIKI kwa habari zote za muziki na burudani.
#HappyBirthdayKapasoBKP #KapasoBKP #Singeli #IKMziki #SingeliUpdates #Burudani
