
“Je, collabo nyingi zinasaidia au zinaua ushindani wa muziki? ”
Zamani wasanii walishindana zaidi.
Leo karibu kila mtu anafanya collabo na kila mtu.
Je, collabo zinajenga muziki au zinapunguza ushindani?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Collabo #MusicIndustry #Burudani
