NUKUU

NUKUU YA LEO KUTOKA KWA MR T TOUCH KUHUSU FURSA

Download | Play Now
NUKUU YA LEO KUTOKA KWA MR T TOUCH KUHUSU FURSA

“Fursa haiji na kelele, mara nyingi huja ikiwa imejificha kwenye kazi ndogo.”
— Mr T Touch, Radio Presenter

Ujumbe:
Usidharau mwanzo mdogo. Kazi unayoiona ndogo leo inaweza kuwa daraja la kukupeleka sehemu kubwa kesho. Watu wengi hupoteza fursa kwa sababu walikuwa wakisubiri kitu kikubwa zaidi.

Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.

#NukuuYaLeo #IKMziki #MrTTouch #Fursa #RadioLife