
“Hakuna anayekuwa mkubwa kwa bahati, kuna kazi nyuma ya kila mafanikio.”
— DJ Choka, DJ na Mtangazaji
Ujumbe:
Tunapoona mafanikio ya watu mara nyingi tunaona matokeo tu. Hatuzioni sleepless nights, kujitoa na kujifunza walikopitia. Ukiwa tayari kufanya kazi ambayo wengine wanaikwepa, utaona matokeo ambayo wengine wanayatamani.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #DJChoka #KaziNgumu #Motivation
