
“Kwa nini baadhi ya wasanii wakitoka lebo kubwa, umaarufu wao hupungua? ”
Wakiwa ndani ya label wanaonekana kila sehemu.
Lakini wakiondoka, mambo hubadilika ghafla.
Je, mafanikio yao yalikuwa ya vipaji vyao au nguvu ya label?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #RecordLabel #Wasanii #Burudani
