E NEWS SINGELI

KAA KARIBU NASI IKMZIKI.COM TRACK 4 KUTOKA KWA MILLA KANJA TUNAZISHUSHA

Download | Play Now
KAA KARIBU NASI  IKMZIKI.com TRACK 4 KUTOKA KWA MILLA KANJA TUNAZISHUSHA

Kama wewe ni shabiki wa muziki wa Singeli, basi kaa tayari kwa kitu kikubwa kinachokuja ndani ya IKMZIKI.COM!

Baada ya kimya cha muda mfupi, msanii Milla Kanja amerudi kivingine na moto mpya. Timu ya IK MZIKI imekabidhiwa rasmi track 4 mpya za moto kutoka kwa msanii huyo, na kesho tutaanza kuzishusha rasmi kwa mashabiki wetu.

Kama ulikuwa unamiss sauti na vibe za Milla Kanja, basi huu ndio muda wako wa kujiandaa kwa kazi mpya zenye ladha ya kipekee na mdundo wa Singeli unaotikisa mtaa.

Kesho usikose kutembelea www.ikmziki.com ili kuwa wa kwanza kupakua na kusikiliza nyimbo hizo mpya.

Endelea kutufuatilia IK MZIKI kwa habari za uhakika, nyimbo mpya, EP, Album na burudani zote za moto kutoka kwa mastaa wa Singeli na Tanzania kwa ujumla.

#IKMziki #MillaKanja #Singeli #NewMusic #SingeliUpdates #TanzaniaMusic #IKMzikiDotCom #ComingSoon