
SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Je, beef za wasanii hujengwa kwa promo au ni chuki halisi? ”
Kuna beef zinakuja kabla ya project kutoka… coincidence?
Wengine wanasema ni strategy, wengine ni real tension.
Wewe unaamini nini?
Toa maoni yako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #MusicBeef #Burudani
