
“Sauti inaweza kubadilisha maisha kama ujumbe wake una ukweli.”
— Lil Ommy, Radio Presenter
Maelezo: Maneno yana nguvu. Unachosema kinaweza kujenga au kubomoa. Tumia sauti yako kuleta thamani, si kelele tu.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #LilOmmy #RadioLife #Inspiration
