
“Meneja bora haoni show ya leo tu, anaona legacy ya kesho.”
— Salam SK, Artist Manager
Maelezo: Maono ya mbali ndiyo yanajenga historia. Usifanye maamuzi kwa faida ya leo pekee; jenga kitu kitakachodumu hata miaka ijayo.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #SalamSK #Vision #Legacy
