Leo tarehe 14/04 tunasherehekea siku ya kuzaliwa ya msanii mahiri wa Singeli anayejulikana kama B99 Icon MC! Ni mmoja wa wasanii waliobeba na kuikuza Singeli kwa nguvu kubwa kupitia mitindo yake ya kipekee, mashairi ya moto na energy ya jukwaani isiyo na mfano
Tunamtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa, afya njema, mafanikio zaidi na kazi nyingi kali zinazokuja mbele!Β Endelea kungβara na kupeperusha bendera ya Singeli πΉπΏ
#IkMziki #HappyBirthday #B99IconMC #Singeli #TanzaniaMusic #MzikiWaBongo #BirthdayVibes #IkMzikiUpdates #WasaniiWaBongo #MusicLife
