
“Mafanikio ni safari, sio mwisho wa safari.”
— Harmonize, Msanii
Maelezo: Usifikirie ukifanikiwa basi umefika mwisho. Mafanikio ni hatua tu ya safari ndefu. Endelea kujifunza, kuboresha na kusonga mbele kila siku.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Harmonize #Mafanikio
