
“Kwa nini baadhi ya nyimbo zina leak kabla hazijatoka rasmi? ”
Kuna kazi zinavuja kabla ya release,
na kuharibu mpango mzima wa msanii.
Je, ni makosa ya team au mbinu ya promo?
Toa mtazamo wako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #MusicLeaks #StudioLife #Burudani
