SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, beat kali inaweza kubeba msanii asiye na kipaji

Download | Play Now
SAUTI YA MTAA Je, beat kali inaweza kubeba msanii asiye na kipaji

“Je, beat kali inaweza kubeba msanii asiye na kipaji? ”

Wakati mwingine beat ndio inafanya ngoma iwe hit,
hata kama vocal siyo strong sana.
Je, producer ndiye anaamua hit au msanii?

Unasemaje kuhusu hili?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Producers #Beats #Muziki