
“Maisha hayapo sawa kila siku, lakini lazima uendelee kusonga mbele.”
— Lava Lava, Msanii
Maelezo: Kila siku haiwezi kuwa nzuri, lakini kila siku ina nafasi ya kuendelea mbele. Usikubali siku mbaya ikuamue maisha yako yote. Simama, songa mbele, na uamini kesho itakuwa bora.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #LavaLava #Maisha
