
Usikose mechi kali kati ya Walambeshi FC vs Mascombiso FC itakayopigwa tarehe 05 April 2026 katika Uwanja wa Hananasif, kuanzia saa 10 jioni.
Hii sio mechi ya kawaida, ni mkusanyiko wa mastaa na vibe za mtaa,Kaa tayari na endelea kufuatilia IK MZIKI kwa updates zaidi!
#IKMziki #MoscowUtembe #Burudani #Mtaa #FootballVibes
