
“Je, wasanii wanapaswa kuimba kile wanachopitia au kile kinachouza? ”
Maisha halisi vs soko la biashara.
Ukiimba ukweli wako — huenda usitrend.
Ukiimba kinachouza — unapoteza uhalisia.
Wewe ungechagua nini?
Tuambie maoni yako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #RealMusic #Burudani #Wasanii
