
“Je, umaarufu wa ghafla unawaharibu wasanii wengi? ”
Kutoka chini hadi juu kwa haraka…
lakini je, akili na mfumo wa maisha unakuwa tayari?
Ndio maana wengine hupotea haraka walivyokuja?
Toa mtazamo wako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Fame #Wasanii #Burudani
