NUKUU

NUKUU YA LEO KUTOKA KWA MBOSSO KUHUSU UPENDO

NUKUU YA LEO KUTOKA KWA MBOSSO KUHUSU UPENDO

“Upendo wa kweli hauhitaji masharti mengi, unahitaji moyo wa kweli.”
— Mboso, Msanii

Maelezo: Mapenzi ya kweli hayajengwi kwa mashindano au masharti mazito. Yanahitaji uaminifu, uvumilivu na kuheshimiana. Upendo ukijengwa kwa misingi hiyo, hudumu.

Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.

#NukuuYaLeo #IKMziki #Mboso #Upendo