SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, wasanii wa zamani wanaheshimika kweli au wanatumika tu kama kumbukumbu

Download | Play Now
SAUTI YA MTAA Je, wasanii wa zamani wanaheshimika kweli au wanatumika tu kama kumbukumbu

“Je, wasanii wa zamani wanaheshimika kweli au wanatumika tu kama kumbukumbu? πŸŽΆπŸ•°οΈ”

Kuna waliotengeneza historia ya muziki wetu,
lakini leo hawaonekani kwenye matamasha makubwa wala promosheni.
Je, tunawapa heshima inayostahili au tumewasahau?

Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #OldSchool #MuzikiWaBongo #Burudani”