SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je redio na TV bado zina nguvu sawa kwenye muziki wa leo

Download | Play Now
SAUTI YA MTAA Je redio na TV bado zina nguvu sawa kwenye muziki wa leo

“Je, redio na TV bado zina nguvu sawa kwenye muziki wa leo? ”

Zamani ukipigwa redioni ulikuwa umefika.
Leo mitandao inatawala.
Je, media za jadi bado zina nafasi kubwa kwenye burudani?

Andika maoni yako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Media #Streaming #BurudaniYaBongo