KAZALIWA

LEO KAZALIWA STAA WA MUZIKI MCHINA MWEUSI MESSI OF SINGELI

Download | Play Now
LEO KAZALIWA STAA WA MUZIKI MCHINA MWEUSI MESSI OF SINGELI

Leo tunamkumbuka kuzaliwa kwa staa wa muziki wa Singeli Mchina Mweusi, anayejulikana pia kama “Messi of Singeli” kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuutawala mdundo kwa kasi na ustadi wa kipekee.

Kupitia sauti yake ya nguvu, mashairi ya moja kwa moja na performance za moto jukwaani, ameendelea kujijengea jina kama mmoja wa vinara wa Singeli wa kizazi hiki.

IK MZIKI tunamtakia heri na mafanikio zaidi katika safari yake ya muziki.

#IKMZIKI #KazaliwaLeo #MchinaMweusi #MessiOfSingeli #Singeli #BurudaniTanzania