SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Kwa nini baadhi ya wasanii hubadilisha style wakishapata umaarufu

Download | Play Now
SAUTI YA MTAA Kwa nini baadhi ya wasanii hubadilisha style wakishapata umaarufu

“Kwa nini baadhi ya wasanii hubadilisha style wakishapata umaarufu? ”

Mwanzo walikuwa na sauti ya kipekee,
lakini wakishapata soko — wanabadilika kufuata trend.
Je, ni kukua kisanii au ni kukosa msimamo?

Wewe unaonaje?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Wasanii #Trend #Burudani

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.