
“Tuzo za muziki zinaakisi vipaji halisi au umaarufu tu? ”
Kuna wasanii wenye kazi kali lakini hawashindi tuzo.
Wengine wanatrend tu kidogo, wanachukua makombe yote.
Je, ni kipaji, connection au namba?
Wewe unaonaje?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #TuzoZaMuziki #Burudani #Vipaji
