
βSafari ya mafanikio ina maumivu, lakini maumivu hayo ndio yanayokujenga.β
β Lava Lava, Msanii
Maelezo: Hakuna mafanikio bila changamoto. Maumivu ya leo yanaweza kuwa somo la kesho. Kila unapopitia wakati mgumu, ujue unajengwa kwa ajili ya hatua kubwa zaidi.
π Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #LavaLava #Mapambano
