E NEWS

MSIBA MZITO MSANII CHID BENZ AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Download | Play Now
MSIBA MZITO MSANII CHID BENZ AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwataarifu kuwa msanii wa Hip Hop nchini, Chidi Benz, amefiwa na mama yake mzazi, Bi. Hawa, ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Februari 11, 2025.

IK MZIKI tunatoa pole za dhati kwa Chidi Benz, familia, ndugu na marafiki wote katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina.

Endelea kufuatilia IK MZIKI kwa taarifa zaidi.

#ChidiBenz #RIP #Pole #IKMziki #HipHopTanzania