SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Kwa nini madansa wengi wanafika mbali nje kuliko nyumbani

Download | Play Now
SAUTI YA MTAA Kwa nini madansa wengi wanafika mbali nje kuliko nyumbani

“Kwa nini madansa wengi wanafika mbali nje kuliko nyumbani? “

Wakicheza Ulaya au Marekani — wanaheshimiwa,
lakini hapa nyumbani wanaonekana kawaida tu.
Je, tatizo ni malipo, support au vision?

Drop maoni yako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #DanceCulture #Burudani

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.