E NEWS

MCZO MORFAN AACHI ALBUM MPYA PGF (PAMOJA GANG FAMILY) HII HAPA DOWNLOAD SASA

Download | Play Now
MCZO MORFAN AACHI ALBUM MPYA PGF (PAMOJA GANG FAMILY  HII HAPA DOWNLOAD SASA

Hatimaye subira ya mashabiki imefika mwisho. Mfalme wa Singeli Tanzania, Mczo Morfan, ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la PGF – Pamoja Gang Family.

Album hii imejaa midundo ya kasi, vibe za uswahilini na ujumbe wa mtaa, ikionesha ubora wa kipekee wa Mczo Morfan katika mtindo wake wa Singeli unaomtofautisha. Kupitia kazi hii, Mczo Morfan anaendeleza jina lake kama mmoja wa wasanii wakubwa na wenye ushawishi mkubwa ndani ya Singeli Afrika Mashariki.

Pamoja Gang Family ni album inayosheherekea umoja, ubunifu na maisha halisi ya mtaani, huku ikibeba sauti halisi ya Singeli safi isiyo na chenga.

Orodha Kamili ya Nyimbo – Pamoja Gang Family Album

Pamoja Gang Family Album Full Traclist

Maelezo ya Album

 

  • Msanii: Mczo Morfan
  • Album: Pamoja Gang Family (PGF)
  • Genre: Singeli / Uswazi Vibes

 

Album hii ni ushahidi wa ubunifu, kasi na ubora wa Mczo Morfan katika kuwakilisha sauti ya mtaa na kuisukuma Singeli mbele zaidi.

Pakua album kamili ya “Pamoja Gang Family” sasa kupitia IK MZIKI,Usisahau kutufuatilia kwa nyimbo mpya, album, EP na habari zote moto za Singeli 🇹🇿

#MczoMorfan #PamojaGangFamily #PGF #Singeli #IKMZIKI