
SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Kwa nini mashabiki hupenda drama zaidi kuliko kazi za msanii? ”
Siku hizi muziki hauendi bila skendo…
Ukiwachia ngoma nzuri hawasikii,
ukigombana au ukipost drama — wanakimbia kwa wingi.
Ni kosa la wasanii au ni mfumo wa mitandao?
Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Burudani #DramaVsTalent #UkweliWaIndustry
Soma na Hizi Pia :
SAUTI YA MTAA : Kwa nini wasanii wengi wa Singeli wanapanda kwa kasi, lakini hawadumu muda mrefu
