
“Je, maproducer wanapewa heshima wanayostahili kwenye muziki wa Bongo? ”
Wengi huona msanii tu, lakini nyuma ya kila hit kuna producer aliyehangaika usiku na mchana.
Je, unadhani maproducer wanaonewa au hawajitambui?
Taja producer ambaye unahisi anastahili pongezi zaidi!
Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #ProducerLife #Studio #BurudaniYaBongo
