
Moja ya Siku bora leo katika tasnia ya Muziki na Burudani Kiujumla kwani Mmoja wa Wanatasnia Hiyo Maarufu kama Zero Brain Amezaliwa Leo Tarehe 27 Mwezi 11.
Zero Brain ni mmoja wa wasanii walioliacha alama kubwa katika muziki wa Hip Hop na Bongo Flava nchini Tanzania. Alijulikana kwa mashairi yenye ujumbe mzito, staili ya kipekee ya uandishi na uwezo mkubwa wa kusimulia maisha ya kweli kupitia muziki wake. Nyimbo zake zimekuwa darasa kwa wasanii wachanga na mashabiki wa muziki wa maandishi yenye maana halisi.
Sisi kama IK MZIKI tunaendelea kuenzi mchango wake mkubwa katika muziki wa Tanzania na kuuhifadhi urithi wake kwa vizazi vijavyo.
#ZeroBrain #IKMZIKI #HistoriaYaMuziki #HipHopTanzania #BongoFlavaClassic #BornToday #MuzikiWaKizazi
