SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Kwa nini baadhi ya madansa hawapewi heshima licha ya kuchangia show iwe kali

Download | Play Now
Kwa nini baadhi ya madansa hawapewi heshima licha ya kuchangia show iwe kali

“Kwa nini baadhi ya madansa hawapewi heshima licha ya kuchangia show iwe kali? “

Madansa huleta uhai, energy, na vibe sahihi — lakini wengi hubaki gizani bila kutambuliwa.
Je, ni changamoto ya tasnia au ni jamii inawapuuzia?
Toa maoni yako hapa

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Dancers #BurudaniYaBongo #Wasanii

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.