E NEWS

CON BEZZY KURUDI YA KISHINDO CHA TRACK MPYA MBILI NNE

Download | Play Now
CON BEZZY KURUDI YA KISHINDO CHA TRACK MPYA MBILI NNE

Msanii maarufu wa Tanzania Con Bezzy anajiandaa kurejea rasmi katika ramani ya muziki kwa kuachia track mpya inayofahamika kama “Mbili Nne”.

Baada ya kuwa kimya kwa muda, Con Bezzy amerudi akiwa na nguvu mpya, na mashabiki wanatarajia kusikia kazi kali itakayotikisa mitaa na majukwaa ya muziki.

Endelea kufuatilia kwa update zaidi kuhusu ujio huu!