SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Kwa nini baadhi ya wasanii wanapopata umaarufu wanawasahau waliowasaidia mwanzo

Download | Play Now
Kwa nini baadhi ya wasanii wanapopata umaarufu wanawasahau waliowasaidia mwanzo~1

“Kwa nini baadhi ya wasanii wanapopata umaarufu wanawasahau waliowasaidia mwanzo? ”

Kabla ya fame, kulikuwa na marafiki, maproducer, na DJs waliowainua — lakini wakifika juu, wanasahau.
Je, ni kiburi, au ni maisha tu yanavyobadilika?
Toa maoni yako hapa

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Wasanii #Burudani #UkweliWaMtaa