
“Utulivu ndio silaha yangu. Mambo mengine yote ni kelele.”
— Alikiba, Msanii wa Muziki kutoka Tanzania
Ujumbe: Watu wenye nguvu ya kweli hawahitaji makelele kuthibitisha uwezo wao. Wanafanya kazi kimya kimya, lakini matokeo yao yanazungumza kwa sauti kubwa. Fanya kazi kwa utulivu, mafanikio yako yatazungumza.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
