
“Je, mashabiki wanachangia kuvuruga au kujenga muziki wa Tanzania? ”
Wengine wanapenda kugombanisha wasanii, wengine wanaunga mkono kwa dhati.
Lakini ukweli ni kwamba bila mashabiki hakuna muziki.
Je, unadhani mashabiki wa leo wanaelewa thamani yao kweli?
Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Mashabiki #Wasanii #BurudaniYaBongo
