SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, umewahi kuona msanii mkubwa akidharau mashabiki wake baada ya kupata umaarufu

Download | Play Now
Je, umewahi kuona msanii mkubwa akidharau mashabiki wake baada ya kupata umaarufu

SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Je, umewahi kuona msanii mkubwa akidharau mashabiki wake baada ya kupata umaarufu? ”

Wapo wasanii waliotoka mtaani, wakapendwa na watu, lakini walipojipatia jina—wakasahau walikotoka.
Je, unadhani umaarufu hubadilisha watu au palikuwa na kiburi ndani tangu mwanzo?

Toa maoni yako hapa
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #Burudani #Wasanii #UkweliWaMtaa