
SAUTI YA MTAA – Swali Tata
“Kwanini wakati mwingine tunawaamini wageni kuliko ndugu zetu wenyewe? ”
Mara nyingine, mtu usiyemjua kabisa ndiye anayekupa msaada wa kweli.
Wewe umewahi kusaidiwa na mgeni kuliko ndugu?
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #UkweliWaMaisha