SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Ni nani aliyekufundisha kwamba si kila anayekuambia ‘nakupenda’ anakwambia ukweli

Download | Play Now
Ni nani aliyekufundisha kwamba si kila anayekuambia 'nakupenda' anakwambia ukweli

“Ni nani aliyekufundisha kwamba si kila anayekuambia ‘nakupenda’ anakwambia ukweli? ”

Mara nyingine maneno matamu ni mtego wa maumivu.
Wewe uliamini nani na kuumizwa vipi?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MapenziYaUongo