
Msanii maarufu wa Singeli Wenga Zemuni, anayejulikana pia kama Manzese Finest, amerudi kwa kishindo na kuachia rasmi EP yake mpya inayojulikana kama “7 Seven Song.” Kwenye ujio huu, amewakutanisha mashabiki na ngoma 7 kali ambazo zinaonesha ubunifu wake wa hali ya juu na nguvu yake katika muziki wa Singeli.
EP YENYEWE HII HAPA BONYEZA : EP Wenga Zemuni – Seven 7 Song (7 Track Hit Song)
Baada ya ukimya wa muda mrefu, Wenga Zemuni amerudi kwa upepo mpya, akithibitisha kwa nini bado anahesabika miongoni mwa mastaa wakubwa wa Singeli. Akiwa amewahi kutamba na vibao vikali kama “Vuvula” na “Aaah Wapi,” sasa ameinua tena kiwango kwa kazi hii mpya ambayo mashabiki tayari wanasema ni ya moto sana.
Kupitia “7 Seven Song”, Wenga Zemuni anaendelea kudhihirisha nafasi yake kama moja ya nguvu kubwa ndani ya Singeli, huku akiendelea kuwakilisha Manzese kwa heshima na ubunifu.
Usikose kufuatilia IK MZIKI kwenye mitandao yote ya kijamii kwa updates zote za muziki, nyimbo mpya na taarifa zote za burudani.
Full Tracklist – Seven 7 Song (Singeli EP)
- Wenga Zemuni – Hunijui | Download
- Wenga Zemuni – Ndio Sisi | Download
- Wenga Zemuni – Watu Wazima | Download
- Wenga Zemuni – R.I.P | Download
- Wenga Zemuni – Walevi Tunapendana | Download
- Wenga Zemuni Ft. Mwange Mc – Vocal | Download
- Wenga Zemuni – No Zesheni | Download