
“Je, kuna wakati ulilazimika kujifanya mwenye furaha ilhali moyoni ulikuwa umevunjika vipande? “
Wakati mwingine tunavaa tabasamu kama barakoa, huku machozi yakifichwa ndani.
Ulikuwa ni wakati gani kwako?
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #TabasamuLaUongo