
“Muziki kwangu ni urithi — ni zawadi ninayoacha kwa vizazi vijavyo.”
— Alikiba, Msanii na Mwandishi wa Nyimbo
Ujumbe: Kila kazi ya sanaa ni zawadi ya kudumu. Muziki hauishi leo, unaishi vizazi vingi. Usiache ndoto yako, inaweza kuwa urithi wa dunia kesho.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Alikiba #UrithiWaMuziki