AUDIO SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, kuna mtu aliyewahi kukuonyesha upendo, lakini ukamkataa na baadaye ukaumia

Je, kuna mtu aliyewahi kukuonyesha upendo, lakini ukamkataa na baadaye ukaumia

Je, kuna mtu aliyewahi kukuonyesha upendo, lakini ukamkataa na baadaye ukaumia? 🌹”

Wakati mwingine tunapoteza almasi tukifukuzia mawe.
👉 Ulishawahi kujuta kwa kumpoteza mtu aliyekupenda kweli?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #UpendoUlioachwa