
“Kuwa kiongozi sio nafasi ya kutawala — ni nafasi ya kuinua wengine waone mbali zaidi.”
— Jokate Mwegelo, Mwigizaji na Kiongozi
📌 Ujumbe: Uongozi wa kweli ni msaada. Ni kule kuwashika wengine mkono ili nao wapande juu.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Jokate #Uongozi